Ni misingi, kanuni na taratibu zinazoainisha tabia na mienendo inayokubalika na isiyokubalika kwa Viongozi wa Umma na jamii nzima kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, uwajibikaji na uwazi
Hutumika kuongoza mahusiano kati ya Viongozi na Watumishi wa Umma, Bodi za Kitaaluma, Vyombo vya Habari, Wadau, Makundi mengine ya wananchi