Dhana ya maiti katika Siasa na Harakati za kudai Haki Tanganyika

Dhana ya maiti katika Siasa na Harakati za kudai Haki Tanganyika

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Wakenya mara kadhaa wametumia dhana ya MAITI kuelezea namna ambavyo Watanganyika "Wamekufa" katika kudai haki zao toka Uhuru 1961 (miaka 63 iliyopita).

2. Mkataba wa DP World ilikua fursa ya Watanganyika kukataa dhana ya "MAITI" Ila ndo kama mnakumbuka mkataba umeshaanza kutumika,

3. Finance na appropriation bills ya mwaka huu nayo hakuna anayehangaika nayo Bali tupo bize na Komasava.

4. Mwabukusi alijaribu akachoka.
 
Tanzania tushavuka stage ya kuwa maiti. Sisi ni mifupa iliyooza. Tushakuwa fossils hapo lazima uwe elimu ya Archeology ili utupate na Carbon14, mambo ya zinjanthropus na homo erectus huko 🤣. Bila D 2 huwezi elewa
 
Back
Top Bottom