Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Kama na wewe umetulia, unaenda mtandaoni kufanya nini?
Dark nategemea wewe ndio utakuwa mwalimu mzuri hapa'haya elimisha vijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama na wewe umetulia, unaenda mtandaoni kufanya nini?
Tatizo lenu mnadhani kila mtu anaishi mjini na anaijua fb au Jf!Dark nategemea wewe ndio utakuwa mwalimu mzuri hapa'haya elimisha vijana
Tatizo lenu mnadhani kila mtu anaishi mjini na anaijua fb au Jf!
Kwani mtaani hakuna matapeli wanaolipa hadi mahari ili waste nafasi ya kufanya uharibifu?
Sie zamani tulikuwa tunatongoza miaka miwili binti bado anachomoa siku hizi ukiweka tangazo unapata mrembo hata ukitaka kumega siku hiyo hiyo unamegaHivi kuna mtu anapenda njia ndefu na yenye mateso?