Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
"Tunapopongeza juhudi zao hizi tunahitaji pia kuwapongeza wakuu wetu wawili wa kwanza ambao kimsingi waliweka msingi mzuri sana wa kutongangania madaraka na badala yake kuachia mapema na kumwachia mwingine kidemokrasia bila vurugu."
hoja haina mashiko!!!!!! na si wakati muafaka wa kushabikia udini na ukabila.
Hivi una amini kuwa hakuna waislam watakaoqualify kwenye hiyo nafasi?Waislam wasomi na wazalendo mbona wako wengi tu?Tutachambua uwezo na CV za hao watakaochaguliwa against walioachwa ki-uzoefu, ki-uwezo na ki-taaluma. Naamini hakijifichi kitu ndani ya JF.
Hivi una amini kuwa hakuna waislam watakaoqualify kwenye hiyo nafasi?Waislam wasomi na wazalendo mbona wako wengi tu?
hakuna ukabila kwenye chadema ni maneno ya watu wavivu kufikiria. Kuna viongozi wengi wa kaskazini kwasababu kuna wabunge wengi kaskazini. Zitto mafano wakati anaingia chadema alikuwa kijana kidogo na hakuwa na kitu hivyo sio ukabila vilevile wanaosema chadema ni chama cha wachagga ni wana chama au? Kwasababu huwezi kuwa kiongozi kama si mwanachama. Sugu, msigwa, lissu, mbunge wa mwanza wote hawa hawajatokea kaskazini!. Kama unataka kukosoa chama jiunge kwanza huwezi kuchagua watu tu wa lindi wakati hawako kwenye harakati.
Wewe kweli umechoka kiakili na kimawazo yaani hapo ndio akili yako imefikia ukomo Lol kweli Bongo wajinga wako wengi sana kwa mantiki hii sidhani kama nchi itaendelea kwa watu wa aina kama yako.Kwa ufupi wanachama wote wa Chadema ni Wachaga?Au viongozi wote wa Chadema,Wabunge,Madiwani,Makatibu nk.Hivi inakuwaje Watanzania tuko na mambo mengi ya kujadili lakini kila siku watu kama nyie mnaturudisha nyuma shame on you man,kwa maandishi yako hapo juu naomba ushahidi-Chadema ni chama cha kikabila na hili liko wazi kabisa hakuna mjadala.Ni chama cha kichaga chenye lengo la kuendeleza fikra za kibaguzi za akina chief Marealle ambazo Nyerere alizikataa katakata,msitufanye watz mazezeta kuwa hatujui kilichopo nyuma ya pazia
Kuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi chama ni cha kigogo?
Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!
Kwa hiyo ZZK hajulikani? Hana sifa kama wewe mhehe?
Mwanzilishi mmojawapo wa ccm alikuwa mchagga,hilo halikifanyi chama kuwa cha kichagga,acha chuki.unamsema mwenzio mvivu wa kufikiri wakati wewe ndio very poor! Cdm ni ya wachaga,halina ubishi,huyo tundu lissu anawashabikia kwa sababu mmemsaidia dada yake kuwa mbunge,nothing else
Hao wanaoponda waislam unadai ni pro chadema si ukweli.Wengi wanajidai pro chadema ili kuchafua chama.Ndo maana sijawa mnafiki na kujiita "MSalani"CHADEMA ni chama cha Wakiristo na Wachaga...
USHAHIDI upo mwingi tu.....
--Mfano humu JF kukiwa na habari inawahusu waislamu PRO-CHADEMA wote wanaungana kuwatukana waislamu.
---Pia akitokea Fisadi anaetokea Kanda ya Kaskazini PRO-CHADEMA wa JF humtetea kwa nguvu zao zote .
--Pia CHADEMA majina ya style kama jmushi1 yapo mengi sana..
_Sabubu zipo nyingi tu kama unataka nikuongezee sema
Ni kiongozi gani nchi hii anaweza kuwa kiongozi hana kabila?
Msingi hapa ni kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza, ambaye kwake ukabila, udini, ukanda, rangi, jinsia ni mwiko!
Mbowe anastahili kuwa kiongozi, ni jasiri, mnyenyekevu, ana hekima ya hali ya juu pengine kama ya mfalme sulemani.
Hatutaki na hatukubali viongozi wetu tuchaguliwe na CCM!
We nawe mbona unaturudisha nyuma, kwenye waraka wa ushindi 2013 hakunamahala pana sema mapungufu ya viongozi wa sasa wanatoka kaskazini, UNAJIDAI HAUKUUSOMA WARAKA ULE SIO, BASI TAFUTA UFAFANUZI KWA M1Kuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi chama ni cha kigogo?
Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!
Kwa hiyo safu yote ndiyo yenye uwezo kuliko kutoka mikoa mingine na je hii haitarudi?
1.Mwasisi-Mtei
2.Mshauri wa CDM-Ndesamburo
3.Mwenyekiti-Mbowe
4.Katibu Mkuu-Slaa
5.Mhasibu mkuu-Komu
waraka wa ushindi kutoka kwa nani?We nawe mbona unaturudisha nyuma, kwenye waraka wa ushindi 2013 hakunamahala pana sema mapungufu ya viongozi wa sasa wanatoka kaskazini, UNAJIDAI HAUKUUSOMA WARAKA ULE SIO, BASI TAFUTA UFAFANUZI KWA M1