Mataifa ya ulaya yamegawanyika kwa misingi ya kikabila, Pengine ni factor mojawapo ya maendeleo
Katika kitu walichokosea wakoloni kwa baadhi ya nchi ni kuunganisha makabila yawe nchi moja, Pengine walifanya maksudi kabisa kwa nia mbaya.
Tushukuru sana hapa Tanzania kutoka kwa Mwalimu Nyerere na mapungufu yake lakini aliweza kupunguza ukabila kwa kiasi kikubwa sana.
Ukabila umekuwa ukisumbua nchi nyingi sana Afrika
Mindset za watu wengi zipo kikabila,
Mkurugenzi wa shirika la kitaifa anapachika watu wa kabila lake
Kiongozi wa idara ya ulinzi anapachika watu wa kabila lake
kiongozi wa taifa analipa kipaumbele kabila lake
Mkurugenzi wa taasisi ya mikopo ya vyuoni anapendelea zaidi watu wa kabila lake,