Dhana ya wanasiasa kutokukosa jibu la kujitetea hata kama wakibananishwa kwenye makosa

Dhana ya wanasiasa kutokukosa jibu la kujitetea hata kama wakibananishwa kwenye makosa

wazanaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
1,092
Reaction score
808
Wakuu, hii imekaaje, kwamba wanasiasa wote wa afrika (mfano Kenya). Unaweza ukamkuta na kosa na kulieleza bungeni ili aweze kutoa majibu, likini majibu ya mawaziri wenye wizara husika yanakua ni.

a) Tumesikiliza tutalifanyia kazi
b) Hilo lipo kwenye mpango, tutalirekebisha

Haya majibu huwa yanatolewa kirahisi na siku inaisha. Na hakuna impact yoyote, wale wabunge wazee wa kupiga makofi na kugonga meza wanagonga, story over.

Linakuja bunge jingine, tatizo lililoongelewa mara ya kwanza linarudiwa, na majibu ni yale yale.

So kivyovyote vile kama wananchi wanahitaji mabadiliko kwa kumbananisha mwanasiaaa na maneno haisaidii. Ni kama vile mwanasiasa ana uwezo wa kujitetea katika kila fact, kwa kifupi, mwanasiasa (hasa wa Afrika) unaweza mkuta anaiba na ukamshika na ukampiga picha, lakini bado akachomoka. [emoji23][emoji23]

Hivi hakunaga mfumo effective wa uwajibishaji just in case mfumo wa kuhojiana haufanyi kazi.
 
Back
Top Bottom