Hata ndoani watu wanaingia tuu chezea security of the future wewe heheheKiukweli swala la wanawake kuridhia ambapo mioyo yao haipo kwao ni gumu, way round ya kuridhia ni kwa kuteketeza mfuko wako akijua kabisa anakutumia kwa manufaa yake tu na wala hajali...
Ila hii inaleta shida sana endapo mwanamke ataingia kwenye ndoa na hii mentality 🤣🤣🤣
Sawa hatukatai lakini kukubali mtu hujampenda ni mtihani kwa wengi..Mwanaume kaumbiwa kupigania penzi na sio mwanamke, ndo maana mwanaume unaweza mkurupusha saa nane usiku akamfuata mwanamke anayempenda popote alipo
Ndo maana nguvu ya kutongoza ikawekwa ndani yake, na hata anayepanga tarehe ya ndoa ni mwanaume na sio mwanamke
Heri nusu shari kuliko shari kamili sio😂😅Ishu sio slope ila ni kule ambako unaona wewe ni sahihi kwako ndio hupendwi hata kiduchu😂😂😂 sana sana utajikuta umeachiwa mtoto uhangaike nae
Mbona nimesema mwanamke anatakiwa aridhie na sio kulazimishwaSawa hatukatai lakini kukubali mtu hujampenda ni mtihani kwa wengi..
Ukitaka kuamini jaribu kuishi na mwanamke usiyempenda wala kumtamani
You are absolutely right on this...Mbona nimesema mwanamke anatakiwa aridhie na sio kulazimishwa
Point ya kurithia inakuja kwa sababu ni ngumu kupata kile anachotaka kwasababu yeye ndo anayetongozwa
Hahahah kwahio kwenye future mnatembea na chakiHata ndoani watu wanaingia tuu chezea security of the future wewe hehehe
eeh ila nyie mwapendaga shari kamiliHeri nusu shari kuliko shari kamili sio😂😅
Hamna namnaaa watoto wasije kukulaumuHahahah kwahio kwenye future mnatembea na chaki