Dharau by Ibraah FT Harmonize

Ume niambia nyimbo haina content, ndo mana nime kuuliza!?.
๐Ÿ‘‰ Kwasababu content ki fasihi ni ujumbe unao patikana ndani ya kazi ya kifasihi.

Ujumbe ndani ya Nyimbo huu, mbona umo.
Ila hauna maana, ujumbe usio na maana ni Content?
 
Ila hauna maana, ujumbe usio na maana ni Content?
Nini maana ya ujumbe??, Una juaje ujumbe fulani hauna maana??.

Ujumbe ni kwa ajili ya kina nani??, Nini dhumuni la ujumbe.
๐Ÿ‘‰Uki Elewa maswali yangu uta Elewa namaanisha nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ