Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi

1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa
2. Kuiba kura
3. Rushwa

Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
Mkuu, naona kama umeandika tungo tata! Anayedharauliwa hapa ni nani? Mwananchi au kiongozi?
 
Kwenye hii nyumba ya Dharau ya Viongozi kwenye nchi yoyote Africa naomba niibe/nichukue pasi tu

Tumegawana vizuri majukumu

download.jpg
 
Kwenye hii nyumba ya Dharau ya Viongozi kwenye nchi yoyote Africa naomba niibe/nichukue pasi tu

Tumegawana vizuri majukumu

download.jpg
 
Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi
1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa
2. Kuiba kura
3. Rushwa

Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
Kama Huyu firigisi
20241214_194606.jpg
 
Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi
1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa
2. Kuiba kura
3. Rushwa

Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
1. Katiba mbovu
2. Upole wa Watanzania
3. Umaskini
 
Back
Top Bottom