sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nendeni kwa baba parokoWadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale nke wako amapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie.
Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane.
Kiafrika zaidi hizi ishu tunasolve vp
Kipigo cha mbwa koko itapendeza.Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie.
Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane.
Kiafrika zaidi hizi ishu tunasolve vipi?