Tatizo la wabungo hili
Mbongo alieajiriwa ofisini, mwenye kipato cha shilingi laki tano au pungufu kwa mwezi anamdharau mtu aliejiajiri kuuza nyanya anaepata kipato cha mpaka millioni 2 kwa mwezi.
hajuai kama ajila ni kama utumwa
Sent using
Jamii Forums mobile app