Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Utopolo hutawasikia hapa watajifanya hawajaiona hii [emoji848][emoji848][emoji848]Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha
wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni wakileta fyoko msomali na mwarabu hawatawapa tena bahasha za khaki
View attachment 1891210
Sent using Jamii Forums mobile app