Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

Utopolo hutawasikia hapa watajifanya hawajaiona hii [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri taratibu tutaanza kuheshimiana ngoja ifike Tarehe 25/9 .Itajulikana tu ni suala la Muda
 
Nafikiri taratibu tutaanza kuheshimiana ngoja ifike Tarehe 25/9 .Itajulikana tu ni suala la Muda
Hao wako msibani kwa kuondokewa na wakina Mikisone....

We waache kama walivyo.

Usije sababisha Homicide.
 
Mnajitekenya wenyewe na kujitia vidole wenyewe na Kujichekesha juu
 
Ni doubt Uto wamewekwa wanapostahili
Hata kungekuwa na mapot kumi utopolo wangekuwa pot no kumi. Katimu fulani kadogo Sana.

Ukubwa wa Yanga ni umri wao tu. Hakuna kingine kilichobaki.
 
NDICHO MLICHOBAKISHA HICHO KUSHINDANA NA SIMBA ikifika tarehe 25 mtakuwa mshatolewa na wanigeria
Ndio shida yao kutwa kujilinganisha na Simba wakati sisi tunawaza kuomba hata mechi ya kirafika na Madrid
 
Hakuna mtoto mnafki kama huyo priva bora ata kitenge anaonesha rangi zake halisi...
 
Jiandae kuja uwanjani na kujinyea manake Mnigeria anakula kipigo Cha mbwa mwizi kwa Mkapa
 
Hautasikia hiii ishu kwenye redio za wachambuzi TAKATAKA bahasha za khaki zimewaminya midomo kutwa wanashangilia chama kuondoka..KARIBUNI SANA RIVERS UTD, twendeni kwenye page zao kujiunga na kuwapa maujanja na updates za utopolo fc
Dah!...Mkuu Yanga,Simba,Azam na Biashara wote ni wawakilishi wa nchi hivyo tuwaunge mkono kweny hii michuano.

Utani na uhasama wetu ubakie humu humu ndani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…