Mkulima aka peazant
Member
- Dec 18, 2011
- 20
- 2
wadau wa elimu kama wanafunzi wanaweza kujiuwa kwa sababu ya matokeo inakuwaje waziri na naibu waziri wa elimu wanakuwa na majibu ya dharau kwa watanzania kwamba hawatajiuzulu kamwe Raisi na mawaziri wake wanalipeleka wapi taifa ni wakati sasa wakuisemea nchi yetu kwa manufaa yetu na tanzania yetu ya baadae.