Dharura: Nahitaji msaada nimepigwa ganzi siku ya tatu hii sisimami

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Kama kuna mtu anafahamu tatizo linaweza kuwa nini anijulishe. Toka Alhamisi naona mashine haisimami nilidhani labda ni reaction ya dawa lakini sijawahi pata reaction kama hiyo, ukichukilia mpaka nimetoka hospitali nilikiwa fresh na kuna match nilicheza.

Sasa sielewi maana Alhamisi mchana alikuja kunitembelea yule nesi kuona naendeleaje. Tukakaa kaa mpka jioni nikampeleka kazini nikarud. Ijumaa pia akaja toka asubuhi sikumfanya lolote na wakati alikuja kwa issue hiyo maana nilikuwa nmeshamweka sawa.

Kitu hakisimami kabisa. Ni kama nimepigwa ganzi, sijawahi patwa na hali hii toka nmezaliwa. Kama kuna mtu anafahamu sababu anambie maana inanipa mashaka sana, mimi hata nikiumwa huwa mashine jino moja tu inaitika lakini sasa hata isukumwe haiwaki kila namna huyu nesi amejaribu.

Sielewi imetokea tu ghafla nimeona humu kuna wajuzi wengi tusaidiane kwa maelezo tafadhali ili ikishindikana ndo niende hospitali na sikumbuki kama nimekula kitu cha mtu au kitu kibaya. Kiakili nipo fresh sina stress hata kidogo.

Nisaidieni ndugu zanguni.
 
Nafikiri hujajieleza vizuri ukaeleweka. Uko kimasihara zaidi. Kabla ya hapo kulikuwa na nini umepigwa ganzi gani au kutosimama ndio unaita ganzi?
 
GUDUME... wewe si mtaalamu wa kuvuka maji ya shingo bila pu...u kulowa maji....
 
Sijafaham kwa nini unaona ni kimasikhara. Au ilibidi niandike vipi ujue issue ni serious. Nielekeze please.

Nafikiri hujajieleza vizuri ukaeleweka. Uko kimasihara zaidi. Kabla ya hapo kulikuwa na nini umepigwa ganzi gani au kutosimama ndio unaita ganzi?
 
Kama kuna mtu anafahamu tatizo linaweza kuwa nini anijulishe. Toka Alhamisi naona mashine haisimami nilidhani labda ni reaction ya dawa lakini sijawahi pata reaction kama hiyo, ukichukilia mpaka nimetoka hospitali nilikiwa fresh na kuna match nilicheza.

Sasa sielewi maana Alhamisi mchana alikuja kunitembelea yule nesi kuona naendeleaje. Tukakaa kaa mpka jioni nikampeleka kazini nikarud. Ijumaa pia akaja toka asubuhi sikumfanya lolote na wakati alikuja kwa issue hiyo maana nilikuwa nmeshamweka sawa.

Kitu hakisimami kabisa. Ni kama nimepigwa ganzi, sijawahi patwa na hali hii toka nmezaliwa. Kama kuna mtu anafahamu sababu anambie maana inanipa mashaka sana, mimi hata nikiumwa huwa mashine jino moja tu inaitika lakini sasa hata isukumwe haiwaki kila namna huyu nesi amejaribu.

Sielewi imetokea tu ghafla nimeona humu kuna wajuzi wengi tusaidiane kwa maelezo tafadhali ili ikishindikana ndo niende hospitali na sikumbuki kama nimekula kitu cha mtu au kitu kibaya. Kiakili nipo fresh sina stress hata kidogo.

Nisaidieni ndugu zanguni.
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo lililokukuta japo umeomba msaada ila wajumbe wengi hawako serious wanachangia na kukujibu Kimasihara

Sitaingia kwa undani ila kwa ufupi ni hivi, tatizo hilo usababishwa na kushikwa ganzi kwa mda kwa msuli hisia ( temporary paralysis of sphincteric Muscles) unaounganisha Uume kwa chini na na mkund** hivyo kupelekea uume kushindwa kusimama kama ilivyo desturi

Hata hivyo naomba nikuondoe wasiwasi tatizo hilo huwa ni la mda tu then baadae huisha hususani kama tukio lenyewe limesababishwa tu na kubadlika kwa ratiba na aina ya Chakula kutokana na ugonjwa kama kesi yako ile ulivyoielezea

Ila kwa wale wenye mtindo wa kukemewa mapepo(kufanya ngono kinyume na maumbile) tatizo hill huchukua mda hadi kurejea katka hali ya kawaida.

Tatizo hili huwakumba watu wote wa kiume na kwa wakike
Ndio maana kwa mwanamke ambaye ameanza kukemewa mapepo huwa aachi kwani ule upande halali unakuwa hauna hisia kabisa.

Ahsante.
 
Kutana na mtaalam was attack achukue historia yako na maswali ya hapa na pale chanzo kipo mkuu,,
 
Muombe msamaha yule jamaa aliyeleta uzi wake kuwa anachukuliwa mchumba na member wa humu jf
 
Back
Top Bottom