Dharura: Nimeng'atwa na buibui mweusi usiku huu msaada

Dharura: Nimeng'atwa na buibui mweusi usiku huu msaada

King yedidiah

Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
52
Reaction score
178
Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya buibui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza.

IMG_20230507_221344_317.jpg
IMG_20230507_221253_972.jpg
 
Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya bui bui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza

Si uende hospitali, ulipo hakuna hospitali? Masuala muhimu ya afya yako unauliza Jamii Forum kweli, mpaka upate jibu kama ni sumu itakuwa too late
 
Si uende hospitali, ulipo hakuna hospitali? Masuala muhimu ya afya yako unauliza Jamii Forum kweli, mpaka upate jibu kama ni sumu itakuwa too late
Shukrani mkuu nimefika hospital hali ipo sawa nimepatiwa dawa za maumivu na dawa za anti inflammatory nipo sawa kwa sasa
 
Soon utageuka spiderman mkuu.
Kuna buibui ambao wana sumua hatari lakini si hawa tunaoishi nao.majumbani na sidhani kama wanapatikana tz
Nafikiri ni wakati sahii wa kumuandaa producer kwa ajiri ya kutoa movie ya spider 4 ikichezwa live bila edition mkuu😂
 
Back
Top Bottom