Dhihaka: Serikali yatoa Nyongeza ya 2% ya pensheni kwa wastaafu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!

Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000

Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
 
Duuuu...ngoja waje wastaafu wenyewe maana kuna siasa humo pia utasikia kaupiga mwingi sana mi 5 tena.....base wastaafu ukoje ?? Hawa woote au wale hazina ??
 
Wakati huohuo wastaafu kama rais,waziri mkuu,makamu,wakuu wa vyombo,na baadhi ya wakuu wa taasisi wanapata mishahara ya 80%ya aliyepo madarakani pamoja na wake zao wakati huo huo Kila kitu wanahudumiwa kama matibabu,magari ya kifahari,Nyumba,Kila kitu wanapewa bure na hawalipi Kodi hata shilingi kumi.hii Nchi shida sana
 
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!

Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000

Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Kuongeza kipato kwa kutegemea serikali ni uzwa uzwa
 
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!

Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000

Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Subiri tu
IMG-20250124-WA0010.jpg
 
Wacha wanyooshwe I Mkiwa kazini mnashadadia Sisiemu na minguo y kijani mara chama cha walimu tunamlipia FOMU mitano tena.....hayo ndo MALIIPO
 
Wakati huohuo wastaafu kama rais,waziri mkuu,makamu,wakuu wa vyombo,na baadhi ya wakuu wa taasisi wanapata mishahara ya 80%ya aliyepo madarakani pamoja na wake zao wakati huo huo Kila kitu wanahudumiwa kama matibabu,magari ya kifahari,Nyumba,Kila kitu wanapewa bure na hawalipi Kodi hata shilingi kumi.hii Nchi shida sana
Ndiyo maana tunaiondoa ccM mdarakani
 
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!

Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000

Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Ulitaka waongeze ngapi?
 
Chawa hawawezi kuelewa, wanahisi watakuwa vijana milele🤣
 
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!

Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000

Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Baada ya Mbowe kuukosa Uenyekiti, sasa unaigeukia Serikali! Wazungu wananena, once a whore always......
 
Back
Top Bottom