ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Irudishe Mkuu Haina haja ya matusiHicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!
Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000
Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini