Wakati huohuo wastaafu kama rais,waziri mkuu,makamu,wakuu wa vyombo,na baadhi ya wakuu wa taasisi wanapata mishahara ya 80%ya aliyepo madarakani pamoja na wake zao wakati huo huo Kila kitu wanahudumiwa kama matibabu,magari ya kifahari,Nyumba,Kila kitu wanapewa bure na hawalipi Kodi hata shilingi kumi.hii Nchi shida sana