DHL Tanzania badilikeni!

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
3,598
Reaction score
1,544
Habari wakuu.

Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.

Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigo lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!

DHL badilikeni!
 
mkuu kwanza habari za siku nyingi nimemis sana makala zako zile za kipindi kile zilikuwa hot kumeza hasa katika field ya afya dhidi ya fastjet. Back to topic jamaa may be kwa bongo ila dunia ya kwanza jamaa wanaaminika sana.
 
Salaam mkuu, ahsante..ndio tunarudi taratibu!
Kiukweli DHL imekuwa reliable duniani(ingawa mapungufu hayakosekani kwa kitu chochote), lakini hivi karibuni wamekuwa wakifanya uzembe na kupuuza huduma kwa wateja kibaya zaidi ni kuwa na majibu ya dharau wakati bado hawajafanya hata majukumu yao! Na hapa siongelei Zonal/Upcountry branches ninaongelea Headquarters hapa hapa Dar es Salaam, ninai mani watasikia.
 
Mkuu nimekupata na ujumbe umewafikia mara nyingi hawa jamaa wanaperfom better sana kwa nchi zilizoendelea ila kwa tz sijui kwanini hawavalue customers wao. Ila ujumbe umefika.

Mkuu nimekupata na ujumbe umewafikia mara nyingi hawa jamaa wanaperfom better sana kwa nchi zilizoendelea ila kwa tz sijui kwanini hawavalue customers wao. Ila ujumbe umefika.

Hivi hapa tz wanaendesha wenyewe au ni mbongo?

wanaboa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…