hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
Habari wakuu.
Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.
Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigo lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!
DHL badilikeni!