Dhl vs ems

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wana jf, kati ya hizo shipping method ni ipi nzur zaidi, kwa upande wa gharama, uhakika na kuwajisha mzigo?
 
Kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, mimi ni mtumiaji mzuri wa EMS

Gharama zipo chini mno kulinganisha na DHL

Na hadi muda huu, licha ya kutumia zaidi ya mara 50 sijawahi kufikwa na tatizo la mzigo kutokufika sehemu husika na kwa wakati
 
EMS ni nzuri zaidi ukilinganisha na DHL kwa upande wa gharama maana EMS ni nafuu zaidi. Kuhusu swala la kuwahi kwa mzigo kwa upande wangu mimi sijaona tofauti kubwa. Nimeshatumia DHL, EMS na Fedex na kwa uzoefu wangu nadhani swala la kuwahi kwa mzigo linategemea na route ya ndege iliyobeba mzigo wako.
 
Mkuu nilikua naitaji kuuliza, Hivi EMS WANAYO HUDUMA YA TRACKING ONLINE, Kwamba unaweza kujua mzigo wako upo wapi na unatarajia kufika mda gani? natanguliza shukran wakuu.
 
Mkuu nilikua naitaji kuuliza, Hivi EMS WANAYO HUDUMA YA TRACKING ONLINE, Kwamba unaweza kujua mzigo wako upo wapi na unatarajia kufika mda gani? natanguliza shukran wakuu.

Ndio EMS pia wana tracking system na tovuti za tracking zinategemea na nchi ambayo mzigo umetoka. Mfano kama mzigo umetumwa kutoka U.S.A kuja Tanzania kwa njia ya EMS then utatumia tovuti ya USPS - United States Postal Services kufanya tracking ya mzigo wako kwa kutumia tracking number uliyopewa baada kutuma mzigo huo.
 
DHL mwisho wa matatizo utumaji vipeto, nilituma mbatata London kwa mpwa vilifika in time.
 
So kiongozi kwa uzoefu wako. Mzigo kwa njia ya EMS yaweza kutumia cku ngapi kutoka USA kuja TANZANIA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…