Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilikua naitaji kuuliza, Hivi EMS WANAYO HUDUMA YA TRACKING ONLINE, Kwamba unaweza kujua mzigo wako upo wapi na unatarajia kufika mda gani? natanguliza shukran wakuu.
So kiongozi kwa uzoefu wako. Mzigo kwa njia ya EMS yaweza kutumia cku ngapi kutoka USA kuja TANZANIA?Ndio EMS pia wana tracking system na tovuti za tracking zinategemea na nchi ambayo mzigo umetoka. Mfano kama mzigo umetumwa kutoka U.S.A kuja Tanzania kwa njia ya EMS then utatumia tovuti ya USPS - United States Postal Services kufanya tracking ya mzigo wako kwa kutumia tracking number uliyopewa baada kutuma mzigo huo.
So kiongozi kwa uzoefu wako. Mzigo kwa njia ya EMS yaweza kutumia cku ngapi kutoka USA kuja TANZANIA?