OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii nchi ngumu sana kubadilika, hata aje nani.
Tuzo ya Mchezaji Bora kupewa John Bocco ni dhulma kwa Chota Chama na wapenda soka.
Tuzo ya Mchezaji Bora wa FA kupewa Feisal ni dhulma kwa Konde Boy Luiz na wapenda soka wote.
Tuzo ya Goli bora kupewa yule mchezaji (simjui jina lake) ni dhulma dhidi ya BM3 Benard Morrison na wapenda soka wote.
Kwa akili zao fupi walipanga kuficha tuzo nyingi kutochukuliwa na wageni. Wakasahau kama mpira unachezwa hadharani.
Kama matukio ya hadharani unadanganya hivi vipi tukiwapa mtoe tuzo kwa mambo yanayofanyika chumbani?
Hovyo kabisa