OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kwani mimi ni Morrison?Ila mkuu Morrison alipohojiwa kwamba anajisikiaje kuhusu goli lake kutokuwa goli bora akajibu kwamba lile goli la Yule jamaa ni nzuri kwasababu alipewa pass na kuunganisha huku hajageuka vizuri kuangalia golini tofauti na wengine ambao wako kwenye move wanaangalia goli
Hayakwani mimi ni Morrison?
Kipi? Simba kubeba mituzo mingi? Ukitaka nani sasa achukue? haaa haaaa timu inayoanzisha round ya 2 CAF sambamba na giants wengine 9,ulitaka ichukue tuzo 3? Timu inayouza mchezaji kwa dau la mabilioni ulitakaje? Timu inayobeba Utopolo na wenzie kwenda CAF ulitaka ipewe nini,kama sio mituzo.Na hata wewe n mbinafsi
Kuna kitu hujakiongelea sababu kipo nje ya mapenzi yako na sio kama hukokumbuki au umekisahau.
Kua fair.
Alisema ni zuri au ni zuri kuliko lake?Ila mkuu Morrison alipohojiwa kwamba anajisikiaje kuhusu goli lake kutokuwa goli bora akajibu kwamba lile goli la Yule jamaa ni nzuri kwasababu alipewa pass na kuunganisha huku hajageuka vizuri kuangalia golini tofauti na wengine ambao wako kwenye move wanaangalia goli
Aliulizwa unajisikiaje upo kwenye category ya goli bora ila hukuchaguliwa ,ndo akaeleza magoli yote ni mazuri ila goli bora ni nzuri zaidi kwa mazingira shuti ilivyopigwaAlisema ni zuri au ni zuri kuliko lake?
Ulianza vzr Mkuu,ila mwisho umeonyesha mapenzi.Mambo ya kubalansi ndio yanayo didimiza soka la tz
Na hii yote kwasababu tuna yanga iliyo mbovu, ishu ya feisal nasema hata yeye mwenyewe haamini
Mkuu kwani ni uongo kua yanga mbovu?Ulianza vzr Mkuu,ila mwisho umeonyesha mapenzi.
Hili tatizo la umimi sio la Tff pekee watanzania wote, hakuna haja ya kuilaumu
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Uwongopi Mkuu yanga Mbovu,ila inakujaje ubovu Wa yanga na utoaji Wa tuzo?? Au unavyojua wewe utoaji Wa tuzo wanaangalia timu moja tu iliochukua ubingwa? Naona tuanzie hapo kwanzaMkuu kwani ni uongo kua yanga mbovu?
Kwasababu tuna takwimu ambayo inaonesha yanga ni ya saba kutoka mwishoni
Timu iliyo bora siku zote ndio inayostahili kuwa na na wachezaji ambao wako front page kwenye hizo tuzoUwongopi Mkuu yanga Mbovu,ila inakujaje ubovu Wa yanga na utoaji Wa tuzo?? Au unavyojua wewe utoaji Wa tuzo wanaangalia timu moja tu iliochukua ubingwa? Naona tuanzie hapo kwanza
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Takataka kabisaaa. Yaan kisa kuchukua ubingwa ndo ulitaka squad yote wachukue tuzo? Unaumwa eh?Timu iliyo bora siku zote ndio inayostahili kuwa na na wachezaji ambao wako front page kwenye hizo tuzo
Kumuacha mchezaji ambaye ame qualify na mwenye statistics nzuri na kumchukua mchezaji ambaye hakuwa na ubora kwenye hiyo season ni udidimizaji wa soka
Na ndio maana nasema, pengine feisal mwenyewe kawa shocked anaona kabisa kua ni namna gani hakustahili kwenye hizi tuzo ila ndio hivyo amejikuta yupo