gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Wanabodi natumain kuwa hamjambo na weekend imeanza vyema. ni muda mrefu sana toa mada hapa jamvini lakin leo naona nimesukumwa sana tuzungumze zaid juu ya ugonjwa wa Kisukari ama Diabetes.
Kisukari umekuwa ni ugonjwa ambao kwa siku za karibuni umepata kasi ya ajabu, zamani tulizokuwa watu wengine tulizoea kisukari ni ugonjwa wa watu wenye umri mkubwa kwasababu katika umri mkubwa baadhi ya aorgan nazo huchoka kwa kuzeeka, kinyume chake sasa ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa uwapatao hata watoto wadogo, na kwa vijana ndio usiseme yaani imekuwa ni fasheni.
sihitaj kuongelea sana unasababishwa na nini kwasababu tulishawah kujadili siku za nyuma hapa jamvini lakin nahitaj leo hii tuongelee athari zake hasa kwa vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa kwa sasa
njia za kujikinga ni rahisi sana, hata kama kwenu kuna asili ya ugonjwa huu basi jali unakula nini, acha kula vyakula vichocheavyo sukari. PUNGUZA kula nyama nyekundu, kunywa pombe kali, kuvuta sigara.
pia fanya mazoezi hasa ili mwili utoe jasho hii itakuwa ni dalili nzuri kwamba umeburn calories za kutosha.
kwa wale ambao tayari wanaumwa basi wajitahd sana kula vizuri, na kutumia dawa lkn pia kufanya mazoezi. wasijinyime sana kula wanga kama wanatumia insulin wasije waka-ru "zero'' sugar manake hapa hili litakuiwa ni tatizo jingine kubwa zaid.

- hukosa nguvu za mwili za kufanya kazi yaani muda wote hujikuta ni wachovu, hivyo kupelekea kuonekana wazembe kazinihusababisha kupata
- shinikizo la damu hii ni kwasababu mwili utajitahd sana kuhifadhi sukari ya ziada mwilini na hivyo kupelekea damu kuwa nzito zaid (laymans lg)
- kwa wakaka hupunguza libido na mwisho wa siku ndoa huingia dosari manake hapo mchepuko lazima
- kwa wadada huongeza vaginal secretions na hizi hutoka zikiwa na ladha ya sukari, na kwasababu sukari plus ph ya uke hufeva kukua kwa fungus na bacteria basi kupata magonjwa ya fungus na bacterial infection ni possible.
- huua uwezo wa macho kuona na wengine hupofuka
- husababisha vidonda visipone hii ni kwasababu kila body fluid imtokayo mgonjwa huwa na sukari na hivyo kufeva vijidudu kuota hii hupelekea wagonjwa kukatwa hata baadhi ya viuongo muhimu kama miguu na mikono
- husababisha mauti.