Diagnosis kwa Nissan xtrail, nahitaji mtaalam

Diagnosis kwa Nissan xtrail, nahitaji mtaalam

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
798
Wapi naweza kuiangalia gari yangu matatizo yake kwa kutumia computer sijui diagnostic,
Nissan xtrail 2005, na utagharimu kiasi gani, maana nahisi iko na shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama u
Wapi naweza kuiangalia gari yangu matatizo yake kwa kutumia computer sijui diagnostic,
Nissan xtrail 2005, na utagharimu kiasi gani, maana nahisi iko na shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo dar nitafute mm nitakufanyia hiyo kitu mkuu..au wapi wapatikana upatiwe hiyo huduma?? 0627136700
 
Back
Top Bottom