Dialysis hospitali za serikali almost 1,000,000 Tsh. Wanyonge wa Magufuli tukimbilie wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nimeshuhudia mwenyewe initial costs nearing 900,000 Tsh. Bado vikoromboizo vingine.

Kweli "wanyonge" wa magufuli wataweza?

Main bussiness ni kukaa madarakani na Tupo Mlimani city kutakatisha fedha! johnthebaptist naomba maoni yako!
 
na bado mtajua hamjui, wenzenu kule zenji ni laki moja tu na kwingine bureeeee kabisa sasa nyie endeleeni kuwashabikia hao wanaochangiwa mabilioni ili waendelee kukaa madarakani.
 
Zanzibar tena
 
Back
Top Bottom