Diamond aachia kionjo Cha wimbo wake

Mkuu vipi nasikia huko karantini masaki kimeumana!
 
Habari za hivi huwezi kupewa
Salam SK yupo ICU
pia wasaidizi wawili wa Diamond wamekimbizwa Mloganzila hali ni mbaya ndiyomaana huoni tena zile video zakuimba wakiwa karantini Masaki.
Mungu awape afya njema wagonjwa wote.
 
Vipi mkuu mtu aliyepo icu anaruhusiwa kutumia simu??

Kwa sababu kama niliona post ya sallam dk 20 zilizopita
Salam SK yupo ICU
pia wasaidizi wawili wa Diamond wamekimbizwa Mloganzila hali ni mbaya ndiyomaana huoni tena zile video zakuimba wakiwa karantini Masaki.
Mungu awape afya njema wagonjwa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…