Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

video nimeielewa sana chezea BMW ya mademe lazima atoe wimbo wa hisia ka huu big up sn
 
Video iko on point..........

Nampenda Diamond naa ni fan wake mkubwa ila wimbo mmmmmmh
yaani kuna mda sauti inasikika kama inataka kukwama kabisaaaaaaa
 
Nyimbo ya kawaida hiyo. Mashahiri zero ila sauti Nzuri. Badala ya kuwasisitiza vijana kutafuta pesa ye anaendelea kuimba tuu WANGU WA MOYONI , MARA MDOGOMDOGO. Nyimbo za diamond zinawafanya vijana wapate mteremko kwenye mapenzi. kusema Kweli MWANAUME ANASIFIWA POCHI NA SI SURA
 
Inferiority complex kwahyo MTU akiongea ukweli hater ukipendacho wewe kwa mwingine ni kawaida tu so don't take it to personal its a matter of choice
 
Kwa level za BONGO FLEVA kijana anafanya vizuri,maana anainvesti kwenye kazi yake hasa video ndo maana anapaa kimataifa!
 
Video iko on point..........

Nampenda Diamond naa ni fan wake mkubwa ila wimbo mmmmmmh
yaani kuna mda sauti inasikika kama inataka kukwama kabisaaaaaaa

Sikiliza wimbo wa Nimpende nani, halaf ukimalaiza tu sikiliza na huu wimbo nahis hutaona tofauti sana km mm ambaye cjaona tofauti sn.
 
invisble,kuna jitu limekurupuka na hangover bila kunywa supu.
 
Last edited by a moderator:
Video nzuri ila Nyimbo ya kawaida sana kwa levo aliyokuwepo naona ameshuka, probably anashuka kwa kasi tatizo ukisema chochote against Daimondi utaambiwa haters, anyway the song is Just Average
 
Nilidhani ni kassim mganga nilivyoisikia ile nyimbo. Ni kawaida sanaa, ila video nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…