Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

huyu mleta mada alileta thread kwamba wimbo wa ''Diamond nitampata wapi'' umefunika wimbo wa shekini P square-shekini kwa viewers,nikamwambia kwenye comments za awali subini miezi miwili uone kama domo hajapitwa kwa viewers.

Hebu angalia mwenyewe no mleta mada ili ujue ubishi mbaya
 
Back
Top Bottom