Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Tumechoka na sredi za domo jamani,kama vp postin kwenye special sredi yake.
 
Kuna Vitu vingi vya kuimba kuibadirisha Tanzania lakini yeye ni ngono. Ufisadi unaofanywa na viongozi ye kimya, kuanguka kwa elimu ye kimya. KUNA ULE USEMO , MZUNGU AKIAMKA ANAWAZA ANAINGIZA NINI, LAKINI MWAFRIKA AKIAMKA ANAWEKA MIKONO NDANI YA ZIPU.
 
Kuna Vitu vingi vya kuimba kuibadirisha Tanzania lakini yeye ni ngono. Ufisadi unaofanywa na viongozi ye kimya, kuanguka kwa elimu ye kimya. KUNA ULE USEMO , MZUNGU AKIAMKA ANAWAZA ANAINGIZA NINI, LAKINI MWAFRIKA AKIAMKA ANAWEKA MIKONO NDANI YA ZIPU.

wakati mwingine naona km wabongo tunamuonea bure huyu dogo kwa kupenda aimbe vitu tofauti na mapenzi ambayo kwa kawaida ni vitu vinavyohitaji upeo wa juu zaidi unaohitaji elimu kidogo sasa mdogo wetu huyu sidhani km anayo,hakuna shule ya mapenzi,yoyote yule mwenye level yoyote ile ya elimu anaweza kuzungumzia mapenzi japo wanatuelimisha na hatuwezi kuwabeza lakini it is too much now though hatuna haki ya kuwachagulia wengine nini cha kufanya.....km hatupendi wanachofanya nikuwaweka ktk ignore list basi.
 
hahha ngoja endelee kulalamika amezidi kubadilisha kama mboga
 
Huu wimbo wake mpya sijauelewa...... maybe nikiendelea kuusikiliza nitauelewa vizuri

Kusema ukweli hata mimi naoana ni madongo kumbe mtenda akitendewa hujihisi kaonewa endelea kulalamika domo nguvu ya mwanamme kumfuko baba
 
Video nzuri ila Nyimbo ya kawaida sana kwa levo aliyokuwepo naona ameshuka, probably anashuka kwa kasi tatizo ukisema chochote against Daimondi utaambiwa haters, anyway the song is Just Average

mkuu umesema fact tupu na kweli wewe unaujua mziki. Shida vijana hawataki kukubali ukweli kuwa kwa level aliyopo diamond haifanani na wimbo huu kabisa. Wimbo si mbaya ila kwa jamaa alipofika kutoa wimbo huu tunasema kashuka. Pata picha angekua kaurekodia bongo
 
asilimia kubwa ya nyimbo duniani ni za mapenzi! zinafuatia za kiroho zinafuata zingine, nyie mlitaka aimbe nini hili mkubali? yule anafanya kibiashara zaidi! UZURI WA MAPENZI YANAMGUSA KILA KIUMBE KAMA SIYO BINADAMU HAIJALISHI MASKINI AU TAJIRI, MREFU AU MFUPI, HIVYO NI RAHISI SANA KUPATA TENSION YA WATU KWA MAPENZI KULIKO SIASA! LEO ULIZIA NI ASILIMIA NGAPI WANAPOTEZA MUDA WAO KUANGALIA VIDEO HIYO KULIKO KUANGALIA BUNGE KUNAKOJADILIWA KUIBIWA KWA FEDHA ZAO?.......MPAKA SAA HIZI IMESHAONWA NA WATU ZAIDI YA LAKI NA NUSU JE AMEINGIZA SHILINGI NGAPI? HUWEZI KUMWAMBIA DIAMOND AIMBE SIASA WAKATI ANAJUA MWISHO WA SIKU HATAUZA JE ALALE NA NJAA HILI KUKURIDHISHA WEWE MWANASIASA?
 

Wanataka Diamond aimbe kuhusu katiba mpya. escrow akaunti.
 
nyie hamjamwelewa diamond,dangote lengo lake n kupata nafac ya kuonekana katka vtuo vkubwa africa so ndo mana anawekeza sana katka vdeo il watu wa nch nyngne wamwone na azd kutanua biashara yake ya mzk so nyie endeleen kusema n wmbo wakawaida wkt mwenzenu anazd kukuza jna lake
 
Nasikia Wema ndude yake tamuuuuuu hadi dai anapiga ukunga
Cc warumi na Dinazarde
Leo nina hamu ya kukimbizwa na maswahiba wangu wa long nitolewe kwenye 3sum

Mmmmm kumbeee😳 zinakua tamu Mpaka haziachiki, lakini kuzimuliki hawawezi? Au chakuonja kitamu???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…