Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Eee si walisema hawakukuta ndom
Jamaa alikua anapiga kavu
wewe unamuona boss wa linas club amefia kwenye sti akipiga bao unazani mchezo utamu ule
Nilipitia ule Uzi basi atakuwa alitania huyo aloandika
Eee si walisema hawakukuta ndom
Jamaa alikua anapiga kavu
Mmmmm kumbeee😳 zinakua tamu Mpaka haziachiki, lakini kuzimuliki hawawezi? Au chakuonja kitamu???
Kuna Vitu vingi vya kuimba kuibadirisha Tanzania lakini yeye ni ngono. Ufisadi unaofanywa na viongozi ye kimya, kuanguka kwa elimu ye kimya. KUNA ULE USEMO , MZUNGU AKIAMKA ANAWAZA ANAINGIZA NINI, LAKINI MWAFRIKA AKIAMKA ANAWEKA MIKONO NDANI YA ZIPU.
Nyimbo kawaida...... ila Video kaitendea haki
He is the Best lakin compared to others
compare to ali kiba
Lazima wajue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha.....
Tafteni Wimbo Wa Q.Chilla Ntampata Wapi Kama Yule Alafu Sikiliza Na Huu Wimbo Mpya Wa Diamond Ni vile Vile Amecopy Na Kupaste
We unahisi kuw legend mpaka uwe na mvi...mpaka sasa kwa mafanikio ya Dimond teyri ni legend