Diamond aamua kuanika siri za Wema, Jokate hadharani

Diamond aamua kuanika siri za Wema, Jokate hadharani

Gumzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
211
Reaction score
8
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond', ameanika siri za warembo, Wema Sepetu na Jokate Mwegelo. Diamond, amebainisha ubora wa warembo hao kimapenzi, huku akisisitiza kwamba mpenzi wake wa sasa, Jokate ni mzuri zaidi. Kabla ya kudondokea kwa Jokate ambaye ni Miss Tanzania namba mbili 2006-07, Diamond alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Wema ambaye ni Miss Tanzania 2006-07.

Akizungumza mbele ya mama yake mzazi, Sanura Sami ‘Sandra' huku paparazi wetu akishuhudia, Diamond alisema kuwa Jokate ni mwanamke bora tofauti na Wema. Alisema: "Jokate ndiyo mke wangu. Ana akili sana huyu mwanamke." Aliendelea: "Jokate akisikia nina shoo, anahangaika kutafuta mavazi yatakayonifanya nipendeze.

Tofauti na Jokate, Wema yeye muda umefika wa shoo, yeye anajipamba. Ukimwambia muda umekwenda anasema nimsubiri amalize kujipamba. "Wema mbele ya Jokate ni mzigo.

Jokate ana akili sana." Diamond, mbele ya mama yake, alikula kiapo kwa kutaja jina la Mungu kuwa kwa Jokate amefika na hatarajii kuachana naye.
 
the guy he's sooo full of him self!!... aangalie atakuwa kituko...
 
the guy he's sooo full of him self!!... aangalie atakuwa kituko...

not the guy, the guys (i mean both of them Diamond and Joket)! Diamond hajatulia, limbukeni la mapenzi, hata huyo joket ni .......wa chini chini tu.
 
Huyo dogo bado mshamba hajui bado analiwa fedha zikiisha hatamuona Jokate wala Jokati!!!
 
the guy he's sooo full of him self!!... aangalie atakuwa kituko...

Wanaume wa diaini hii ndio wanasababisha jina la 'gumegume' wanaanzaje kumponda mwanamke uliyekuwa naye zamani?! Na huyo uliye naye sasa hivi mkikosa naye uponde! -off topic- hivi hakuna mtu anaweza kumshauri mama diamond amrudie mungu? (aanze toba) yuko magharibi sasa jua ndio hilooo linachwea lakini bado kuongoza na kijana wake kila mahali! mademu wa kijana wake wote anawajua!! aibu gani hii kwa mama mtu mzima?!
 
Kiukweli Diamond kutembea na Jokate inaniuma sana. Nilikuwa namuheshimu sana huyu dada.. Niliamini kama hakuwa na skendo kama hz kipind kile cha utoto/ubint basi ukubwani kama sasa asingejirahisi kwa wajinga kama huyo anayejiita almas!

Jokate umekosa nini mama hapa duniani? Wanaume wa maana hawapo? Hata kama ni mtalimbo mbona ni mingi kwa majentromen wa mjini, tofauti na huyo.. Au ni d&nda limekupeleka kutokana na domo lake..

U deserve more than this downtown dude.
 
sikujua kama jokat ni kicheche kiwango kikubwa ths much.hapa ndipo ufinyu wa akili za wanawake unapo onekana.kama leo wema ni mjinga kesho nizamu yako dada jokate.joket ana akil sana kinyume wema ni mjinga sana.
 
Kiukweli Diamond kutembea na Jokate inaniuma sana. Nilikuwa namuheshimu sana huyu dada.. Niliamini kama hakuwa na skendo kama hz kipind kile cha utoto/ubint basi ukubwani kama sasa asingejirahisi kwa wajinga kama huyo anayejiita almas!

Jokate umekosa nini mama hapa duniani? Wanaume wa maana hawapo? Hata kama ni mtalimbo mbona ni mingi kwa majentromen wa mjini, tofauti na huyo.. Au ni d&nda limekupeleka kutokana na domo lake..

U deserve more than this downtown dude.

Mzee mbulumbulu;
Huyu msichana mzuri kwa sura lakini roho yake huwa inanitia wasiwasi sana. Kama vile ana roho ya kwa nini vile mimi ninavyoona. Yaani tangu ashindwe na Wema huo u-miss, wema halali hapumui. Kila anachofanya Wema lazima kimvizie kwa ajili ya kumpiku. Jamani pamoja na kwamba Wema mtu wa kuandikwa andikwa sana kwenye media, lakini ifike mahali tuuone huo ukweli. Huyu Jokate anamuhumilliate mwenzake. Wanaume wapo kibao kwa nini kila mwanaume anayekuwa na Wema kwanza lazima baadaye awe na yeye? Kwanza mi nashangaa graduate wa university na waimbaji wa bongo fleva au waigizaji wapi na wapi! Waimbaji na waigizaji wana life style yao na wasomi nao wana life style zao, si kuvamia tu maisha ya watu simply wana pesa. Kuna siku watakuja kumzingua. Hawa wasichana wawili hata mimi nawapenda sana ila kuiukweli Jokate hamtendei haki mwenzake, yaonyesha anamfuatilia sana tangu walipomaliza shindano lao ambalo ni karibia miaka kumi sasa!
 
Jaman wote nyie naona hamjakwazika, jokate cyo bnt wa ku date na diamond simply becoz anajíta sukari ya warembo kwn ana nn hasa which is so special kiac cha kusumbua watu wazma hvo? Kwnz mswahli,nat attractable yn shortly hez nothng watamalza hzo hela zte thn watamkimbia arud kwao mbagala, hapo ndo atapolha na kusaga meno!
 
Hawa wote wanamchuna tu wema kala zake kasepa na jokate anavuna mtaji wake kweli ushamna mzigo lol!
 
Halafu kuna mtu alikuja na eti mabinti wanapenda 'Vichwa' wanawake hawa hawa au wengine?
 
Na huyo mama ake na diamond ana kazi,kila kitu lazma ashirikishwe.ndo matatzo ya kushka pesa ukubwani haya!
 
Back
Top Bottom