calvingyan
Member
- Mar 28, 2012
- 47
- 6
Eti anamlipizia wema....teeh teeeh malipizo mengine bana.....Kiukweli Diamond kutembea na Jokate inaniuma sana. Nilikuwa namuheshimu sana huyu dada.. Niliamini kama hakuwa na skendo kama hz kipind kile cha utoto/ubint basi ukubwani kama sasa asingejirahisi kwa wajinga kama huyo anayejiita almas!
Jokate umekosa nini mama hapa duniani? Wanaume wa maana hawapo? Hata kama ni mtalimbo mbona ni mingi kwa majentromen wa mjini, tofauti na huyo.. Au ni d&nda limekupeleka kutokana na domo lake..
U deserve more than this downtown dude.