Diamond aamua kuanika siri za Wema, Jokate hadharani

Eti anamlipizia wema....teeh teeeh malipizo mengine bana.....
 
huyu kijana akae kimya tu time will tell
Elimu inasaidia sana maana itakusaidia kujua when to zip it na when to open ur mouth.. Huyu kijana anaona amewin kila kitu sasa kuanika mahusiano yako anamfaidisha nani kama si kujidhalilisha. Huu ucelebrity wa bongo una vioja! Anachokifanya hapa ni kuwadhalilisha wanawake. Binadamu sote tuna mapungufu.Helikopta inamjaza upumbavu.
 
huyu Diamond(copper)almas haiwi ya kijinga!ni mjinga,mpumbavu au mshenz?napita tu!
 
Moyo wangu,
Moyo wangu,
Sijuw unauma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Pumzika Diamond, enjoy na Jokate wanawake wana mioyo migumuuuuuuu, akikufungulia ingia, akikufukuza kimbia usirudi nyuma!!!!!


From Selous@PJN
 
Ss nimeamini ule usemi usemao mwanamke anaakili kama kuku, Huyu dada nimemshusha sn sn.
 
Yaani Jokate nilimtokea miaka flani akanipiga chini sasa ameenda kuangukia kwenye mapenzi ya kisanii..ya kutangaziana jukwaani..namwonea huruma sana anavyospoil future yake,
 

na hasa elimu ya malezi, sasa mama mwenyewe ndo huyo daily kwenye media aki deliver pumba unategemea mtoto aweje? mbona shwazniga supastaa lakini mama yake hatumjui?...
 
Tatizo la ma celebret wa bongo hawa tambu izi media zina wa changanya sana napia wengi wa hawa ma ** niwashamba sana sasa huyu jama wa chopa yeye anaona cjui ni ufahar sana kuji choresha kwa mablogs magazet redion kila mahali
sasa basi ni ipo ivi kila lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wake ata jutia kama co na maukimwi huko cjui bna yetu macho.
 
Naomba kuuliza tu, kwakuwa kuuliza si ujinga. Hivi kwanini haka kajamaa kanapenda wanawake wanaokazidi kimo? (nina maana ule urefu wa kwenda juu).
 
Amesahau kuwa alisema kwamba Wema kamfundisha ung'enge? kila mwanamke ana mabaya na mazuri yake, kama kweli yeye ni mwanaume wa shoka asema ubaya mabaya ya Jokate sasa hivi, asije kusema pale walitakapomwaagana.... utaiskia eeeeh anakojoa kitandani.... teh teh teh
 
Hata kwa Wema alisema amefika. Tusubiri muda.
 
vikisha alivyo navyo ataiptapata fresh....angekuwa na jeuri angewachukua wakati hana fedha dah!
 
Hao ndo macelebrity wa Tz!kazi kweli kweli..
 
Ngoja ntafute nosic..mana hiki ni kichefuchefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…