Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

fashen jmn muachen avae kama unaweza na wewe vaa ila mwanaume wangu mm kuvaa iyo ktu hapana[emoji119]
 
Tayari mshasombwa,ikikiki anaachia wimbo,aliesema ccm itatawala milele hakukosea maana anatujua vizuri
 
KUNA TAMADUNI MILA NA DESTURI, HATUISHI KWA SHERIA TU!
Hapo kavunja tamaduni gani? Ingekuwa hvyo kuvaa kikuku ndiyo hitimisho kwako kuwa kavunja maadili ya tamaduni na desturi nitakuliza na wamasai je? ambayo n tamaduni zao nao vipi?

Utamduni wako si ni kuvaa magome ya miti?
 
MWANAUME HAVAI VIKUKU, HAKUNA, YEYE SIYO MMASAI AND BY THE WAY MASAIS ARE ABONDONING THESE PRIMITIVE ATTIRE
 
Kwenye tamaduni za Mwafrica kuna kipengele kinakataza mwanaume asivae kikuku? Leta ushahidi wa screen sh"ot ya hicho kipengele, kinacho kataza mwanaume asivae kikuku
 
Hapo kavunja tamaduni gani? Ingekuwa hvyo kuvaa kikuku ndiyo hitimisho kwako kuwa kavunja maadili ya tamaduni na desturi nitakuliza na wamasai je? ambayo n tamaduni zao nao vipi?

Utamduni wako si ni kuvaa magome ya miti?
Hata wewe mkuu unavaa?
 
Mwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeeeView attachment 809316
Au zile habari ili ufanikiwe lazima ulambwe ka mtandao kale wanapenda wanafunzi kenye bei nafuu buzz au tigo kwa neno la siku hizi, then keshanogewa hawezi kuacha? Hebu fafanueni vizuri, ki chicken maana yake unakuwa chicken kwa vijeba/majeba
 
YULE DJ wake analiwa kitambo hata mnyama keshsajipigia sana sasa labda kamuambukiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…