Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
AstakafurulahMwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeeeView attachment 809316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AstakafurulahMwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeeeView attachment 809316
Wewe kweli jambaziKama hajavunja sheria za nchi sioni kama kuna tatizo
kwa sie wenye macho sita hiyo ni hirizi ya kumuongezea nguvu kwenye show zakeMwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeeeView attachment 809316
KUNA TAMADUNI MILA NA DESTURI, HATUISHI KWA SHERIA TU!Kama hajavunja sheria za nchi sioni kama kuna tatizo
Hapo kavunja tamaduni gani? Ingekuwa hvyo kuvaa kikuku ndiyo hitimisho kwako kuwa kavunja maadili ya tamaduni na desturi nitakuliza na wamasai je? ambayo n tamaduni zao nao vipi?KUNA TAMADUNI MILA NA DESTURI, HATUISHI KWA SHERIA TU!
MWANAUME HAVAI VIKUKU, HAKUNA, YEYE SIYO MMASAI AND BY THE WAY MASAIS ARE ABONDONING THESE PRIMITIVE ATTIREHapo kavunja tamaduni gani? Ingekuwa hvyo kuvaa kikuku ndiyo hitimisho kwako kuwa kavunja maadili ya tamaduni na desturi nitakuliza na wamasai je? ambayo n tamaduni zao nao vipi?
Utamduni wako si ni kuvaa magome ya miti?
Kwenye tamaduni za Mwafrica kuna kipengele kinakataza mwanaume asivae kikuku? Leta ushahidi wa screen sh"ot ya hicho kipengele, kinacho kataza mwanaume asivae kikukuMWANAUME HAVAI VIKUKU, HAKUNA, YEYE SIYO MMASAI AND BY THE WAY MASAIS ARE ABONDONING THESE PRIMITIVE ATTIRE
Hata wewe mkuu unavaa?Hapo kavunja tamaduni gani? Ingekuwa hvyo kuvaa kikuku ndiyo hitimisho kwako kuwa kavunja maadili ya tamaduni na desturi nitakuliza na wamasai je? ambayo n tamaduni zao nao vipi?
Utamduni wako si ni kuvaa magome ya miti?
Au zile habari ili ufanikiwe lazima ulambwe ka mtandao kale wanapenda wanafunzi kenye bei nafuu buzz au tigo kwa neno la siku hizi, then keshanogewa hawezi kuacha? Hebu fafanueni vizuri, ki chicken maana yake unakuwa chicken kwa vijeba/majebaMwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeeeView attachment 809316
YULE DJ wake analiwa kitambo hata mnyama keshsajipigia sana sasa labda kamuambukizaAu zile habari ili ufanikiwe lazima ulambwe ka mtandao kale wanapenda wanafunzi kenye bei nafuu buzz au tigo kwa neno la siku hizi, then keshanogewa hawezi kuacha? Hebu fafanueni vizuri, ki chicken maana yake unakuwa chicken kwa vijeba/majeba
Kwakweli wanaume wa dar ni wa aina yakeSasa unashangaa nini? ina maana hujui kuwa ni mwanaume wa Dar??
Hawachelewi ... so sad wanaume wa kizaz hiki haswa wa daslam. Wanatia aibu wanaume wengineKesho kuna mwanamme wa Dar mwingine ataanza kuvaa
Mi nahisi nakufahamu in real life[emoji23][emoji3] mkuu kabisa?????? Tufanye go mi num ndio jina halisi
This is name calling. It's against jf rules. Unaitafuta banYour real name is grace,am i right ?