Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Dadake diamond esma wakati anahojiwa wakati wa shughuli ya arobaini ya zama alisema haoni tatizo lolote kuhusu mondi kuvaa kikuku

Haya sasa mnaotokwa na povu sawa, ila dada mtu keshabariki tiyari,,
Tanzania ya viwanda itabaki kwenye maandishi na majukwaa ya kisiasa
 
Dadake diamond esma wakati anahojiwa wakati wa shughuli ya arobaini ya zama alisema haoni tatizo lolote kuhusu mondi kuvaa kikuku

Haya sasa mnaotokwa na povu sawa, ila dada mtu keshabariki tiyari,,


Sasa wewe ulitaka dada mtu asemeje? Diamond ndiye anayemuweka dada na familia yake yote mjini ni LAZIMA wamsupport.
 
Kama sijasahau ilikuwa mwaka 2014 wakati Diamond platnumz alipokuwa South Africa alionekana katika video moja akipakwa wanja na rangi za mdomo na mdada,aliporudi Tanganyika,watanganyika wengi sana wakahoji juu ya wanja zile na rangi za midomo kwa mwanaume kulikoni?

Alichokijibu mdogo wangu Diamond platnumz ni kuwa,katika dini yake ya uislamu wanja kwa mwanaume na rangi za midomo ni Suna,tukakubali.

Naskia juzi pia kaonekana kavaa kikuku mguu mmoja,japo watu wamesema mengi sana juu ya tukio hilo,ila yeye kaonekana kama hana shughuli nao kabisa.

Sasa waislamu nilikuwa naomba mniambie pia kama na kikuku kwa wanaume wa kiislamu ni suna ili niwaambie watu wasimsumbue mdogo wangu.Maana pengine ndio nguzo na mwongozo wa uislamu wetu.
 
ktk vyote ulivyo vitaja wanja pekee ndo sunna.ukisema sunna inamaana kile ambacho Nnabii wa Allah (s.a.w) alikifanya
 
Nabii wa Mungu
  • Alipaka wanja
  • Shedo
  • Hina
  • Rangi ya kucha
  • Kusuka
  • Alikula kidogo
  • Alikula chakula kilichomwagika chini
  • Alitinda nyusi
  • Alioa wake wengi
  • Alioa mke mtoto
NB. Usinichukie hizo zote ni sunna za mtume S.W.A
  • N.k n.k
nilikua nakuona kama mtu mwenye uelewa kumbe kichwa kimejaa sisimizi.Shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…