Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Kwanza hiyo kauli kuwa kupaka wanja na Rangi mdomoni ni sunna ameitolea wapi??


Upumbavu wake aiuhusishe na dini
 
Mbona kawaida tu kwa wanaume wa dar hujaona au kusikia ya ya moni na country boy....
 
Mkuu mbona wanitusi nimedanganya???
Nimeishi uislamu miaka 8 nimesoma madrasa na nimeishi Zanzibar sana. Najua nilichokiandika
Kwan kukaa Zanzibar ndo nn au kuwa muislamu kwa miaka 8 Taja vitabu vyenye kuthibitisha uyasemayo watu tujue ushahid uwe mezani! Mambo yawe hadharani ukwel ubainike!
 
Kama sijasahau ilikuwa mwaka 2014 wakati Diamond platnumz alipokuwa South Africa alionekana katika video moja akipakwa wanja na rangi za mdomo na mdada,aliporudi Tanganyika,watanganyika wengi sana wakahoji juu ya wanja zile na rangi za midomo kwa mwanaume kulikoni?

Alichokijibu mdogo wangu Diamond platnumz ni kuwa,katika dini yake ya uislamu wanja kwa mwanaume na rangi za midomo ni Suna,tukakubali.

Naskia juzi pia kaonekana kavaa kikuku mguu mmoja,japo watu wamesema mengi sana juu ya tukio hilo,ila yeye kaonekana kama hana shughuli nao kabisa.

Sasa waislamu nilikuwa naomba mniambie pia kama na kikuku kwa wanaume wa kiislamu ni suna ili niwaambie watu wasimsumbue mdogo wangu.Maana pengine ndio nguzo na mwongozo wa uislamu wetu.View attachment 837121


Bi Sandra alimuharibu dogo kitambo.....cheki hapa alivyomvalisha shanga zake ili dogo akaopolewe na wauza maji mtaani
 
Nabii wa Mungu
  • Alipaka wanja
  • Shedo
  • Hina
  • Rangi ya kucha
  • Kusuka
  • Alikula kidogo
  • Alikula chakula kilichomwagika chini
  • Alitinda nyusi
  • Alioa wake wengi
  • Alioa mke mtoto
NB. Usinichukie hizo zote ni sunna za mtume S.W.A
  • N.k n.k


Mtume alikuwa mtu wa vituko sana na ndiyo maana siamini kama kweli alikuwa Mtume. Kwenye kitabu cha Haddith alinukuliwa akisema,....."akivaa nguo za mtoto Aisha ambaye alikuwa anambaka, eti ndipo anashukiwa na Mungu." Jamani, kuna ukweli hapa?
 
Back
Top Bottom