Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Kwaiyo wewe unataka nini?Naona hapa issue ni Uislamu na Sio Dayamondi
Mkuu mbona wanitusi nimedanganya???nilikua nakuona kama mtu mwenye uelewa kumbe kichwa kimejaa sisimizi.Shame on you
Wanja ni dawa ya macho, Nabii alipaka wanja kwa ajili ya tiba.Kwa hiyo nabii alipaka wanja...
Mmh basi sasa
Mimi mgalatiaWe ni muislamu au?
Itakuwa kwenye kitabu labdaKwanza hiyo kauli kuwa kupaka wanja na Rangi mdomoni ni sunna ameitolea wapi??
Upumbavu wake aiuhusishe na dini
Umeona ehh!We nae umbea tu
Kwan kukaa Zanzibar ndo nn au kuwa muislamu kwa miaka 8 Taja vitabu vyenye kuthibitisha uyasemayo watu tujue ushahid uwe mezani! Mambo yawe hadharani ukwel ubainike!Mkuu mbona wanitusi nimedanganya???
Nimeishi uislamu miaka 8 nimesoma madrasa na nimeishi Zanzibar sana. Najua nilichokiandika
Viabu si unavijua mkuu. Vitabu vya hadithKwan kukaa Zanzibar ndo nn au kuwa muislamu kwa miaka 8 Taja vitabu vyenye kuthibitisha uyasemayo watu tujue ushahid uwe mezani! Mambo yawe hadharani ukwel ubainike!
99.99% ni uongo!Viabu si unavijua mkuu. Vitabu vya hadith
Kwani nimedanganya????
Thibitisha99.99% ni uongo!
Kama sijasahau ilikuwa mwaka 2014 wakati Diamond platnumz alipokuwa South Africa alionekana katika video moja akipakwa wanja na rangi za mdomo na mdada,aliporudi Tanganyika,watanganyika wengi sana wakahoji juu ya wanja zile na rangi za midomo kwa mwanaume kulikoni?
Alichokijibu mdogo wangu Diamond platnumz ni kuwa,katika dini yake ya uislamu wanja kwa mwanaume na rangi za midomo ni Suna,tukakubali.
Naskia juzi pia kaonekana kavaa kikuku mguu mmoja,japo watu wamesema mengi sana juu ya tukio hilo,ila yeye kaonekana kama hana shughuli nao kabisa.
Sasa waislamu nilikuwa naomba mniambie pia kama na kikuku kwa wanaume wa kiislamu ni suna ili niwaambie watu wasimsumbue mdogo wangu.Maana pengine ndio nguzo na mwongozo wa uislamu wetu.View attachment 837121
Hakuna kitabu chochote kati ya 6 vya hadith zenye kuthibitisha unayosema kama umekiona Tuthibitishie!Thibitisha
Nabii wa Mungu
NB. Usinichukie hizo zote ni sunna za mtume S.W.A
- Alipaka wanja
- Shedo
- Hina
- Rangi ya kucha
- Kusuka
- Alikula kidogo
- Alikula chakula kilichomwagika chini
- Alitinda nyusi
- Alioa wake wengi
- Alioa mke mtoto
- N.k n.k
Nimesoma hadithi hizo zote madrasa kwa ustadh Ayoub.Hakuna kitabu chochote kati ya 6 vya hadith zenye kuthibitisha unayosema kama umekiona Tuthibitishie!