Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Mwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeee
Capture.PNG
 
Ni mwanaume wa dar maskani yake tandale ila kwa sasa anaishi kwake madale ila moja kwa ni mwanaume wa dar
 
Kuna msanii mwingine amepaka rangi za midomo, nimesikitika sana
 
Back
Top Bottom