Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Huu ni ujana tu,itafika muda atakua akikumbuka haya anayoyafanya,aidha atakua anajicheka au atakua anajisikitikia,time will tell.
 
F7362FBC-CB6A-4DF3-9367-4CBB5BBAF0C3.jpeg
15728849-AF06-49DD-860A-1E124D3CCFB7.jpeg
 
Huyo sijui kama anawazia hata bili ya umeme.
Sijatoka ndani siku ya nne nadaiwa bili ya umeme ya mwezi huu, chakula napitishiwa kati ya uwazi wa paa na kenchi.
Mwenye nyumba nahisi kasimama palepale nilipomwacha juzi ananitegea nitoke.

Raha ya kuvaa kikuku nitaitoa wapi?
 
Jamaa mmoja gym alikua ananiambia tajiri lazima afanye starehe zote hadi kufir.wa (ana hela kimtindo) nikamuuliza wewe tayari? Akajibu tayari, na ilikua yeye na mshkaji wake walisikia kua ukitumia cocaine unachelewa kumwaga.

Wakaamua kujaribu kwa kufanyana kizamu zamu. Nikamuuliza hiyo ishu ni kweli? Akajibu hapana, walikojoleana fasta tu.

Jamaa namuangalia kwa jicho la tofauti sana.
 
So alikuwa anakuvutia upande wake au?
 
Back
Top Bottom