Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Ilitakiwa timu domo itoe taarifa mapema kwamba zoezi la upigaji kura bado...huyu dogo inabidi afanye mabadiliko ya management yake

Huyu chogo anaetuletea habari humu yupo kimya utadhani tutaota?
 

habari za diamond na tuzo za BET ziko all over social media ie fb and twitter....na tuko pamoja nae ktk hili.
 
Last edited by a moderator:
kipengele hicho haitaji kupigiwa kura.....ni jinsi atakavokua anatajwa tajwa kwenye mitandao ndo kutampa ushindi !! Na markini my words ... Diamond anachukua hiyo tunzo!!!
 
Kipengele cha kupiga kura BET ni Coca cola viewers' choice award peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…