AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Jins ya kupiga kura ni aje wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitakiwa timu domo itoe taarifa mapema kwamba zoezi la upigaji kura bado...huyu dogo inabidi afanye mabadiliko ya management yake
Jins ya kupiga kura ni aje wakuu.
Hongera zake, ila hii ndio tofauti ya Wabongo na sisi Wakenya. Jamaa hapa mnamshabikia ila hakuna anyetupatia link ya kumpatia kura kama sisi wana-EAC. Mnabaki tu ni kelele hapa JF. Habari hizi za Diamond ziko wapi maana mtoto wetu Lupita Nyong'o tayari kachaguliwa kushindana kwenye best actress 2014 BET Awards Nominations: Rihanna, Chris Brown & More Full List - Hollywood Life
CC: Geza Ulole kadoda11 Askari Kanzu Kimweri Bulldog
Wapi ndomo prezzooo?? lawmaina78 waltham Geza Ulole kadoda11.
Tupige kura mazeee.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
heaven on desert MFIKISHIE UJUMBE DIAMOND MWAMBIE Tyta KAMPA HONGERA
Hahahahah mbav zanguuu......mtumie na kapicha kako mkuu ili ajue tyta ni nani
nadhani akiona hiki atantambua kabisa....
![]()