Ila kwa mafiki zoro hachomoki wala nini. Sema kufika huko napo ni hatua nzuri. Big up
Kuwa mentioned tu pande hizo ni heshima,hongera Diamond,naupenda muziki wako,but huwa siridhishwi na tabia zenu za kubadilidha wanawake pamoja na kuvaa milegezo,but big up sana!!
kuwa Nomenees inatosha kuonyesha kazi yake imekubalika...Hongera Platnumz hongera Tz
Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tannzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)
Kwa hapa ni Asante kwa kutajwa.....
Hapa kazi ipo ila gud thing ni kwamba atakaa jumba moja na masitaa wakubwa duniani siku ya event yenyewe... Hatuwezi jua anaweza toa collabo hata na p didy au west ila itabidi asijevaa vipedo vyake
kwa hiyoo??