Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

kuwa Nomenees inatosha kuonyesha kazi yake imekubalika...Hongera Platnumz hongera Tz
 
Tunamuombea ashinde akishinda aende na Wemaa ili waseme nyota kaliiiii binadam bwanaaaa
 
Davido ana kura zote za west africa
Mafikizolo wana kura za wasauzi
Diamonds inabidi abebe za east africa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Safi sana dogo lakini toa plutinumz kwenye jina huwezi weka madini aina mbili ktk jina moja lakini pia kwa wamarekana kuwa na plutinum ni tuzo ya kuuza copy zaidi ya milioni
 
Well done Diamond. Juhudi zako ziwe rewarded accordingly. Wenye roho za korosho wale dawa ya Panya.
 
Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tannzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)

Kwa hapa ni Asante kwa kutajwa.....

Hapa kazi ipo ila gud thing ni kwamba atakaa jumba moja na masitaa wakubwa duniani siku ya event yenyewe... Hatuwezi jua anaweza toa collabo hata na p didy au west ila itabidi asijevaa vipedo vyake
 
Hongera zake anaeza pata shavu la kutoa collabo ba p didy au jigga hata lil wayne maana si atakutana nao siku ya awards.

Kwa mara ya kwanza mtanzania duh itabidi tumkubali tu anafanya vyema....


Sema sasa kila mtu sahivi ataibuka na kujidai yeye ndo mganga wake
 
Back
Top Bottom