Davido ana kura zote za west africa
Mafikizolo wana kura za wasauzi
Diamonds inabidi abebe za east africa
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Afu atapanda gharama sababu watu kama akina jigga bila milioni 400 haji kwenye show afu jamaa kafanikiwa mpaka kufika hatua ya kuingia nao ukumbi moja mwisho wa siku ushije shangaa na yeye anakwambia bila milioni 400 usimwite kwenye show si ulisikia hod alisema ukiongea naye chini ya milioni 45 kwa sasa unajisumbua so this time lazima dau lipande
kuteuliwa BET ni kitu kikubwa sana hata asiposhinda...imagine kina chameleone, jaguar nk wote kawashinda...at least katuweka TZ kwenye ramani....
nafahamu kwamba bet zilianzishwa kwa ajiri ya wanamzki weusi ..so unataka kuniambi walio nyuma yake,ikiwemo waandaaji e.t.c,hakuna wazungu?na hizi tuzo ni za marekani??we ndio kujifanya mjuaji kwenye hakuna
Hogera sana shemeji,ngoja nikuandalie migebuka na ugali wa rowe.
Mrejesho muhimu...uwe asi au chanya...
Nimefurahi utadhani nimekuwa nominated mimi...wapi manager...tupe link watu tupige kura.......
Huu ndio muda wa kujua kazi ya manager sijuhi promoter ni ipi
Imagine kuna kina P square, 2 baba, na wengine wengi lakini Diamond wetu kaonekana...you made Tanzanians and East Africans sooo proud!!!! Kaza buti kijana una kila sifa za kupaa kimataifa