Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Davido ana kura zote za west africa
Mafikizolo wana kura za wasauzi
Diamonds inabidi abebe za east africa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Nigeria pekee wakipiga kura hata west na south wakiungana kupiga kura kwa kigezo cha ukanda na sio burudani basi south na East wasahau... Ndio maana big brother kura zinahesabiwa kwa nchi.. Wanigeria ni shidah, wako wengi sana na wanaumoja na wanapenda vya kwao hata vikiwa bibovu.

Hapo kura bora tu wenyewe mashabiki waamue kupiga kwa msanii anaye wa burudisha haijalishi anatoka upande gani. Maana west ina nguvu na wako wengi...
 
Goood...very Gooood ila mwambie aache kuvaa sketi..hapa kwetu bongo bado hatuja internalize kwamba kuna fashion that so-called skirt for men...
 
Nimefurahi utadhani nimekuwa nominated mimi...wapi manager...tupe link watu tupige kura.......

Huu ndio muda wa kujua kazi ya manager sijuhi promoter ni ipi

Imagine kuna kina P square, 2 baba, na wengine wengi lakini Diamond wetu kaonekana...you made Tanzanians and East Africans sooo proud!!!! Kaza buti kijana una kila sifa za kupaa kimataifa
 
Afu atapanda gharama sababu watu kama akina jigga bila milioni 400 haji kwenye show afu jamaa kafanikiwa mpaka kufika hatua ya kuingia nao ukumbi moja mwisho wa siku ushije shangaa na yeye anakwambia bila milioni 400 usimwite kwenye show si ulisikia hod alisema ukiongea naye chini ya milioni 45 kwa sasa unajisumbua so this time lazima dau lipande

Hilo ndilo litakalofata bila milion 400 hafanyi shooooo wera weraaaaa
 
MTV na BET si mchezo ukipata sijui labda uuze mjengo wako wa 250m uwanunulie vocha na bundle watu wa-vote kama haujafanya hivo imekula kwako.
 
nafahamu kwamba bet zilianzishwa kwa ajiri ya wanamzki weusi ..so unataka kuniambi walio nyuma yake,ikiwemo waandaaji e.t.c,hakuna wazungu?na hizi tuzo ni za marekani??we ndio kujifanya mjuaji kwenye hakuna

Aisee hapo kubali tu uliingia chaka.
 
Hii ni kubwa kuliko kiukweli,bigup kwake.Kama utani vile namuona Diamond akitaniwa na Kevin Hart pale jukwaani anapoenda kunyanyua tuzo(kama alivyofanya Mpoki) huku mama ubaya akiwa nyuma yake
 
Nimefurahi utadhani nimekuwa nominated mimi...wapi manager...tupe link watu tupige kura.......

Huu ndio muda wa kujua kazi ya manager sijuhi promoter ni ipi

Imagine kuna kina P square, 2 baba, na wengine wengi lakini Diamond wetu kaonekana...you made Tanzanians and East Africans sooo proud!!!! Kaza buti kijana una kila sifa za kupaa kimataifa

P Square si waliulizwa wakasema hawamjui,sahivi watamjua kilazima
 
naseeb huyu huyu aliesoma tandale leo anaenda kukaa meza moja na jay z kweli dunia duara tutakutana kati
 
aaaah kumbeee...au ndo itakuwa prezoo kaleta ka beef ka kijinga kwa ndomo..?!!!
 
Back
Top Bottom