MISHEMISHE JAMI
Member
- Sep 9, 2013
- 60
- 5
Msanii na elimu wapi na wapi...msimvunje moyo kijana.....
Yeye akifika huko atwange hata Kiha...kitachomfanya ashinde ni mziki wake na kura zetu; hayo ya lugha sijuhi elimu tuwaachie wanaotafuta kazi UN....
Hao kina Davido wanaimba lugha hata hazieleweki, lakini mziki wao tunaupenda...
Na nachompendea huyu dogo ni confidence...hajali watu wanasema nini kuhusu level ya kimombo chake...na hicho ndo kinamfanya aendelee kuthubutu....
Hapo Jaguar umemtaja wa nini?
Watu ama wewe ndo una shauku??
Hongera zake, ila hii ndio tofauti ya Wabongo na sisi Wakenya. Jamaa hapa mnamshabikia ila hakuna anyetupatia link ya kumpatia kura kama sisi wana-EAC. Mnabaki tu ni kelele hapa JF. Habari hizi za Diamond ziko wapi maana mtoto wetu Lupita Nyong'o tayari kachaguliwa kushindana kwenye best actress 2014 BET Awards Nominations: Rihanna, Chris Brown & More Β Full List - Hollywood Life
CC: Geza Ulole kadoda11 Askari Kanzu Kimweri Bulldog
watu hao yaani jamaa ana udambwi udambwi kibao mata kavua chupi mara kavaa sketi mara karusha njiwa,mara kamvalisha pete mtu ukumbini mara kavaa njiwa yaani full attention
itabidi tupige kura kwa wingi ili ushindi uje nyumbani Tanzania.
Tunavochukiwa na majirani zetu wakenya na rwanda--uganda, congo na burundi watatupigia
Nigeria pekee wakipiga kura hata west na south wakiungana kupiga kura kwa kigezo cha ukanda na sio burudani basi south na East wasahau... Ndio maana big brother kura zinahesabiwa kwa nchi.. Wanigeria ni shidah, wako wengi sana na wanaumoja na wanapenda vya kwao hata vikiwa bibovu.
Hapo kura bora tu wenyewe mashabiki waamue kupiga kwa msanii anaye wa burudisha haijalishi anatoka upande gani. Maana west ina nguvu na wako wengi...
Kuna watu wanachuki zao hawawezi kumuunga mkono,wanatamani wangechaguliwa wao.
jaguar sio mkali au? sijaelewa swali lako mkuu
Diamond asikate tamaa, tumpigie kura tu.
Najua kuna majuha wa Tanzania watampigia Davido
kweli Jf inabeba mizigo mizito!
Acha kudandia treni kwa mbele....
Nan kaongelea kuhusu kimombo chake...
Tunaongelea kuhusu majina mawili yaan DIAMOND PLATNUMS....kama mdau alivoeleza ni madini mawili tofauti na kule kwenye muziki wenye hela duniani America ukisema Platnumz niauzo ya zaid ya copy milion 2...
Sasa alishwai kuuza wapi mauzo ya platnums???
Ama ulinunua wewe??
Elimu nayo inachangia nafikiri....ni.muda wa kujiendeleza sasa ili aweze kufanya mambo kiprofeshno zaidi.
Shaquile O'neal enzi zake alisainigi mkataba wenye hela zaidi enzi zake hela ambazo hata Diamond avae skirt kwnye tuzo za BET hatakuja kuzishika....dola Milioni 120.
Lakini baada ya kustaafu NBA alirudi shule kujiendeleza kielimu sasa hivi anaitwa Dr. Shaquile O'neal.
Lil Wayne anapiga hela lakini aliamua kurudi shule na kuji enroll University of Houston. Jiulize
Elimu ina faida yake hata kama unapiga hela ndefu. Inasaidia kua 'role model' mzuri kwa watoto kwani siku izi watoto wa kibongo hawataki shule tena wanataka mziki na bongo muvi huku wakisema "Mbona Diamond hajasoma lakini anapiga hela?? "
unaona ni sawa hivyo kwa watoto wetu??
Hataimba milele. Hata Gurumo alistop kuimba.
Sasa na wewe naona unakoment pumba tu.
Fanya hivi nenda kwa Kapuya ukachukue ada ujiendeleze kielimu.
Si bora hata jina lako Diamond Platnumz, kampuni inaitwa WCB yaani Wasafi Classic Baby!!! ππ
Simpatii picha mama ubaya atakavyojishaua red carpet ya BET na akina Beyonce , mwaka huu ma haters tutajibebaa